DHAMIRA NA DHIMA

DHAMIRA

Kuwawezesha Wanawake na Vijana waliowengi kupata Elimu na Mafunzo ya Ujasiriamali na Fedha ili kuwakwamua toka katika umaskini wa kipato kwakuweza kujiajiri na kuwaajiri wengine.

DHIMA

  • Kufundisha Elimu ya Ujasiriamali
  • Kutoa mafunzo ya utengenezaji wa Bidhaa mbalimbali, Masoko na Mauzo kwa Mjasiriamali
  • Kufundisha Elimu ya Fedha