HUDUMA ZETU

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

 • Elimu ya Ujasiriamali
 • Utengenezaji wa Bidhaa

ELIMU YA FEDHA

 • Namna ya Kupata Pesa
 • Namna nzuri yakutumia Pesa
 • Namna nzuri ya Kuhifadhi Pesa
 • Namna nzuri ya Kuzalisha Pesa
 • Namna bora ya Kukopa ili uwezekujeresha Mkopo bila matatizo
 • Namna bora yakujikinga na majanga usiyoyatarajia
 • Njia nzuri za kutunza kumbukumbu za biashara
 • Elimu ya Kodi
 • Jinsi yakupanga maisha ya uzeeni ili usiwe tegemezi katika maisha yako ya uzee wako

MAFUNZO ATAMIZI

 • Mafunzo shirikishi kwa vitendo katika miradi mbalimbali ya GPOINT